Washiriki wa Mafunzo ya Uongozi wa Kidiplomasia na Uhusiano wa Kimataifa wakiwa kwenye Picha ya pamoja na MKufunzi wa Mafunzo hayo Mhe. Balozi. Peter Kalaghe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), akikabidhi zawadi ya Vitabu kwa mwenyekiti wa Bodi ya CHuo cha Diplomasia Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi, na Kaimu Mkurugenzi wa Chuo Felix Wandwe ndc.
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), akiwa katika Picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Chuo cha Diplomasia.
Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Diplomasia akikabidhi zawadi kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb).
Watendaji kutoka Benki ya Azania wakifurahia kupata vyeti baada ya kutimiza siku tatu( 3) za mafunzo ya Itifaki ya Biashara, Maadili na Mahusiano ya Kiserikali yaliyoendeshwa na Chuo cha Diplomasia.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Alex B.D.J.Mfungo, akifunga mafunzo ya mabalozi.
Bw. Felix Wandwe - ndc Kaimu Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia akisaini kitabu cha wageni kwenye Maonyesho ya Vyuo vya kati yaliondaliwa na NACTVET yaliofanyika jijini Dodoma.
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Balozi Liberata Mulamula pamoja na Bodi ya Chuo Cha Diplomasia