Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kituo cha Uhusiano wa kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim
Mafunzo ya muda mrefu
Shahada ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia
Muda: Miaka mitatu (3)
Njia: Muda wote
Malipo: TZS 1,660,000
Omba Sasa Tazama
Stashahada ya Juu ya Utawala na Uongozi wa Kimkakati
Muda: Miaka (2)
Njia: Muda wote
Malipo: TZS 1,660,000
Omba Sasa Tazama
Stashahada ya Juu ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia
Muda: Miaka Miwili
Njia: Muda wote
Malipo: TZS 1,610,000
Omba Sasa Tazama
Stashahada ya Uzamili Menejimenti ya Uhusiano wa Kimataifa
Muda: Miezi Tisa (9)
Njia: Muda wa jioni
Malipo: TZS 2,530,000
Omba Sasa Tazama
Stashahada ya Uzamili ya Diplomasia ya Uchumi
Muda: Miezi (9)
Njia: Muda wa jioni
Malipo: TZS 2,530,000
Omba Sasa Tazama
Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Kimkakati
Muda: Miezi 18
Njia: Muda wa jioni
Malipo: TZS 6,000,000
Omba Sasa Tazama
Stashahada ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia
Muda: Miaka miwili
Njia: Muda wote
Malipo: TZS 1,215,000
Omba Sasa Tazama